Muigizaji na mchekeshaji Mkude Simba ambaye wengine wanamfahamu kama Kitale kutokana kujipatia umaarufu kupitia tamthilia ya Jumba la Dhahabu, Kitale ameamua kutumia ukurasa wake wa isntagram na kueleza mawazo yake baada ya wasanii kushindwa kufan…
BREAKING: TAKUKURU inawashikilia Waliotajwa kashifa ya Escrow
TAKUKURU inawashikilia Singh Sethi na Rugemalila(Waliotajwa kashifa ya Escrow ) kwa tuhuma za uhujumu uchumi - Kupelekwa Mahakamani TAKUKURU imesema inawafikisha mahakamani watuhumiwa, James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchu…

EMMANUEL Mbasha Amvua Nguo Hadharani Mzazi Mwenzie ‘Flora Henry’
Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Emmanuel Mbasha ambaye alikuwa mume wa Mwanamama Flora Henry amefunguka na kuweka wazi kwa kila kitu kuwa Mrembo huyo ni mtu wa kuruka kuruka kwa Wanaume kwani anaendeshwa na tamaa. Image result for flo…

Ali Kiba si Lolote Kwa Diamond Platnumz..Amber Lulu Afunguka
#AmberLulu kupita ukurasa wake Instagram alikuwa mubashara ameweza kuonesha ushabiki wake hadharani na mapenzi yake kwa #DiamondPlatnumz.Akiwa mubashara kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram amesema kuwa ajaona Msanii yoyote ambaye anaweza kumlin…

Ukiambiwa Sentensi Hizi Kumi na Mwanadada Anakudanganya
Mapenzi Habari za muda huu wana MMU,Nimefanya 'kautafiti kangu kasicho rasmi' nikagundua maneno haya kutoka kwa wanawake wakikwambia usiwaamini hata kidogo..Karibuni mchangie mada, ukiwa na la kuongezea ongezea ili tujifunze.1.Ungejua wala sina har…

Harmorapa Si wa Mchezo Mchezo,Jina Lake Lawashtua MTV Base ya Afrika Kusini...!!!!
Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabisho” imekuwa moto kwelikweli. Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu za politics ndiye msanii anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Harmo ni mo…

Kilichoendelea Leo Mahakamani Kuhusu Kesi ya Madawa ya Kulevya Inayomkabili Wema Sepetu
Kesi ya Dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu iliyokuwa isikilizwe leo, imeahirishwa hadi Aprili 11 mwaka huu baada ya upande wa mashtaka kudai kuwa upelelezi haujakamilika. Muigizaji huyo ni mmoj…

Baada ya Kusaidiwa Kwenye Nyimbo Yake ya Kwanza,Harmorapa Aaanza Kumpiga Vijembe Juma Nature,Adai Hakumfanyia Poa Hata Kidogo...!!!
Msanii Harmorapa amewaomba wasanii wakubwa waliopo kwenye 'game' ya muziki kuacha tabia ya kuwapiga mkwanja mkubwa 'underground' wakati wanapoenda kuwaomba kufanya nao 'collabo' Hayo yamekuja baada ya msanii huyo kuombwa pesa ya mavazi na Juma Nat…

Mayweather akubali kuzichapa na Conor McGregor Juni 10, 2017
Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor watapanda ulingoni Juni 10, mwaka huu wameuteua ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas kuwa shehemu. ya pambano lao. Kila mmoja ametaja bei yake ya kupandia ulingoni kuwa dola za Kimarekani Milioni 100,…

Profesa Jay Aahidi Kuachia Kitu Kipya Jumatano Hii....!!!
Rapper mkongwe wa hip hop nchini Profesa Jay ameahidi kuachia wimbo wake mpya Jumatano hii. Ni miezi saba imepita tangu rapper huyo alipoachia wimbo wake wa ‘Kazi Kazi’ ambao bado unazidi kufanya vizuri sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye redio na ru…

Rumishael Shoo (Rummy) Ashikiliwa na Polisi Kwa Tuhuma za Dawa ya Kulevya
Madawa ya Kulevya Kamanda Sirro akiongea na waandishi wa habari amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wahalifu mbalimbali, silaha na magari mawili aina ya Noah yaliyokuwa yakitumika kufanya uhalifu. Miongoni mwa aliowataja Kamanda Sirro …

Nay Wa Mitege 'Amlilia' Vanessa Mdee
Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amefunguka kwa kumpa pole mwanadada Vanessa Mdee ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutumia na kusambaza dawa za kulevya. Muimbaji huyo alijisalimisha kwa jeshi la polisi siku 5…

Serengeti Boys kimenuka : Diamond, Ali Kiba Kuibeba
Burudani Dar es Salaam. Wanamuziki Ally Kiba na Diamond Platnumz ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya watu 10 wa kusaidia maandalizi ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania 'Serengeti Boys' Akitangaza kamati hiyo inayoundwa na wanahabari, viongozi …

Kituo cha radio cha Angola kinasema kwamba, Rais Jose Eduardo dos Santos, ambaye ametawala taifa hilo kwa karibu miongo minne atajiuzulu kabla ya Uchaguzi, mwaka ujao. Waziri wa Ulinzi, Joao Lourenco, anatarajiwa kuwa mkuu wa chama kinachotawala cha…

Hizi Ndio Sababu Zinazowafanya Wanaume Kufa Mapema Kabla ya Wanawake
Utakubaliana na mimi kwamba wanaume wengi walioko kwenye ndoa wanakufa mapema na kuwaacha wake zao, ingawa swali linabaki kuwa ni kwanini?Zifuatazo ni sababu 6 za wanaume wengi walioko kwenye ndoa kufa mapema na kuwaacha wake zao.1. Ugumu katika kuf…

TAZAMA PICHA ZA STAA ELIZABETH LULU ANAVYO TUMIA MAKE UP
Become an wholesale marketer. There are many companies and webmasters who use online wholesale programs to boost their online sales, and most of these wholesale programs are free to join. When you sign up for an affiliate program, an affiliate link …

Aliyeng’atwa ulimi Wakati Akipigana Denda na Mwanamke Ahofia Kuachwa na Mchumba Wake
Kijana Saidi Mnyambi (26) anayedaiwa kung’atwa 1/3 ya ulimi wake wakati wakinyonyana ulimi na mwanamke mmoja, ameingiwa na hofu kuwa mchumba wake anaweza kumwacha kutokana na kitendo hicho. Kijana huyo mkazi wa Unyankhae, Manispaa ya Singida, aliyas…

UTAFITI:Faida za Kiafya Kwa Wanawake Wenye Makalio Makubwa Hizi Hapa
Licha ya mvuto yaliyonayo yakiwa kwenye jinzi, makalio makubwa ya wanawake ni kinga kwa kisukari na magonjwa ya moyo. Wataalamu wa afya wanadokeza kwamba makalio ni muhimu kwa afya ya binadamu kwani huwezesha kusimama na kutembea vile anavyoonekana.…

Jifunze Haya Wewe Mwanamke Uliye Single
1- Kamwe usisahau kumuomba Mungu wako kabla hujasema "YES" kwa yule unaedhani anapaswa kujenga maisha na wewe. Usikimbilie kuolewa. Kama utakimbilia kuolewa, utaikimbia ndoa na tena kwa majeraha makubwa.2- Tambua lengo lako kabla hujaingia kwenye nd…

BASATA Yamfungulia Nay wa Mitego
Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John.Na…
