Muimbaji
huyo alijisalimisha kwa jeshi la polisi siku 5 zilizopita baada ya
kutajwa kwenye list ya RC Makonda ya watu wanaojihusisha na biashara ya
dawa za kulevya na kutakiwa kujisalimisha polisi central kwajili ya
mahojiano.
Rapper
huyo ameonyesha kuguswa na tukio hilo lililomtokea muimbaji huyo wa
wimbo Cash Madame huku akimtaka kuvumilia kwa yote yanayoendelea.
“Vanessamdee
Sijui ulipo anzia, but mpaka apa ulipofikia umepambana sana. Nina imani
mungu ndo aliye kufanyia wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua
Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye
yanayo kukabili ivi sasa. Amini izi ni Changa moto tu na ni Mapito
ambayo Binadamu tunapitia kwenye Safari ya kuelekea kutimiza Ndoto
zetu,” aliandika Nay Instagram.
Aliongeza,
“I pray for you my friend Vanessa, naamini brand yako haiwezi haribika
kirahisi kwa sababu umepambana sana ni wasichana wachache wenye kuweza
ku-fight kama wewe. Mungu ata kusimamia uzidi kusonga mbele, Haya yata
pita nina imani utakua strongZaidi. #CashMadame KeepItUp. Napenda kuona
Wasichana wakifanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii #VannesaTheBrand wewe
ni mwanamke wa shoka. Usiyumbishwe kuwa Mfano. Najivunia uwepo wako
kwenye Game,”
Post a Comment