Kufuatia kifo cha aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu katika Halmashauri ya jiji ya Mbeya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ester L. Mpwiza, Tume ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 23 Februari, 2018 imemteua Jane Japhaly Jojo …
Zitto ataka hesabu ya wapinzani waliobaki
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kuwataka Wabunge wa vyama vya upinzani wasimame mbele ili waweze kuhesabiwa ili wapate kujitambua wamebakia wangapi. Zitto amebainisha hayo kupitia ukurasa wake…

Polisi wakana, wadai wao hawahusiki
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limekana kumkamata mwandishi wa habari Emmanuel Kibiki ambaye anadaiwa kukamatwa majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo Februari 22, 2018 na watu waliojitambulisha kuwa ni jeshi la polisi. Akizungumza na www.eatv.tv…

AYOTV Agizo lingine alilolitoa Waziri Kigwangalla mkoani Pwani
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Gaudence Milanzi kuanzisha mchakato wa kisheria wa kupandisha hadhi Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Wamimbiki kuwa Pori la Akiba ili iweze kuhifadhiwa viz…

VIDEO: Tundu Lissu amtumia salamu Rais Magufuli akiwa Hospitali leo
Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu leo alikua Nairobi Kenya kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyatta ambapo baada ya kutoka kwenye sherehe hizo alimtembelea Hospitali alikolazwa Tundu Lissu ambapo baada ya kumtembelea Lissu al…

Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku shisha
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amepiga marufuku uvutaji wa kilevi aina ya shisha unaoendelea kwenye mahoteli yote mkoani hapa akisema ni sehemu ya matumizi ya dawa ya kulevya. Rugimbana ametoa kauli hiyo leo (Jumatano) mjini hapa kweny…

MAMBO Yazidi Kumwendea Mrama JAMAL Malinzi Rais wa TFF, Hicho Ndio Kilichojiri Baada ya Takururu Kumkamata
Jamal Malinzi JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.Taarifa kutoka ndani ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini…

Mkurugenzi wa Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amtoa Machozi Rais Magufuli......Ni Baada ya Kufariki Ghafla Akiwa Ofisini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Joseph Pombe Magufuli amesema amepokea kwa mshtuko mkubwa kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa benki ya AFDB Dkt Tonia Kandiero kilichotokea usiku wa jana, na kusema kwamba ni mtu aliyechangia maendeleo Tanzania.…

MAAJABU? Ng’ombe katobolewa tumbo lakini bado anatembea (+Video)
Kadri siku zinavyoendelea kuhesabika ndio wengine pia tunaendelea kushuhudia vitu vipya au kusikia vitu kwa mara ya kwanza na hii inatokea Morogoro Tanzania ambapo baada ya hivi karibuni kusambaa clip ikionesha ng’ombe waliotobolewa tumbo na bado wa…

PICHA 10: Nje ya Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya Lowassa kuripoti
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana June 26 2017 alipata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumtaka kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Asubuhi ya leo June 27, 2017 m…

Usitupe taka ovyo kama huna milioni moja
Dodoma. Kama huna Sh1 milioni, hakikisha unatii sheria za nchi ili usijikute jela. Bunge limepitisha Muswada wa Fedha 2017 ambao unatarajiwa kuanza kutumika Julai Mosi. Nyingi ya adhabu zilizomo kwenye muswada huo, zinatoza faini ya kati ya Sh 200,0…

Kijana Ajinyonga Juu Ya Mti Kwa Ugumu Wa Maisha
Matukio ya watu kuchukua maamuzi ya kujiua katika manispaa ya Shinyanga yanazidi kushika kasi ambapo jana Jumapili June 18,2017 majira ya saa 10 alfajiri kijana aitwaye Paulo Ezekiel (17) mkazi wa mtaa wa Mazinge kata ya Ndembezi alifariki dunia k…

Marekani yaitungua ndege ya kijeshi ya Syria
Marekani imeitungua ndege ya kijeshi ya Syria iliyokuwa ikijiandaa kuwashambulia wanamgambo wa IS ambao wamekuwa wakihatarisha maisha ya wananchi wa nchi hiyo huku umoja wa mataifa ukitaka kuwepo na usuluhishi. Aidha, Marekani imesema kuwa imefikia …

Mwigulu Nchemba Awapa Makavu Wanaompinga Rais Magufuli na Kuwatetea Wezi wa Rasilimali za Nchi
Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha Marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu (makinikia), Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Maghari…

One thing Tanzanians Waliloshindwa Understanding and Meeting JPM boss Acacia
In short you can say that the majority failed to understand the dialogue session was held between the President of the United Republic of Tanzana, Dr. John Beer Magufuli and Chairman of Barrick Gold Corporation in which it owns a great company Acaci…

A huge fire destroyed a residential skyscraper London
Image captionDepartment of firefighters in London has sent 40 trucks to extinguish the fire One apartment building has caught fire in the Latimer Road, west of the city of London, people who saw it said, the fire has brought shock prompting some peo…

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai leo bungeni amewapa onyo wabunge Halima Mdee pamoja na Easter Bulaya akisema kuwa wanapaswa kutambua kuwa Bunge bado linauwezo wa kuwaita na kuwahoji na kuwapa adhabu kali zaidi ya hiyo walionayo sasa. Job Ndugai amese…
