Home
»
HABARI
» VIDEO: Tundu Lissu amtumia salamu Rais Magufuli akiwa Hospitali leo
Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia
Suluhu leo alikua Nairobi Kenya kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Uhuru
Kenyatta ambapo baada ya kutoka kwenye sherehe hizo alimtembelea
Hospitali alikolazwa Tundu Lissu ambapo baada ya kumtembelea Lissu
aliongea haya maneno machache kwenye hii video hapa chini
Post a Comment