Mchana wa leo Mikoa ya Kanda imekumbwa na tetemeko la ardhi ambapo nyumba kadhaa zimebomoka na inadaiwa kuna vifo kadhaa Advertisement …
Picha: Jeshi la polisi mkoa wa Singida likifanya majaribio ya silaha
Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha zilizonunuliwa kwa kodi zao. Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo…

Soma Nafasi za Kazi Zilizotangazwa leo Katika Magazeti na Mitandaoni
Nafasi za Kazi Zilizotangazwa leo Katika Magazeti na Mitandaoni....10 Job Opportunities at CVPeople Africa, Sales ExecutivesJob Opportunity at Standard Chartered Bank, Business Operational Risk ManagerJob Opportunity at Standard Chartered Bank, Bran…

BASATA Yatoa Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Msanii Shakila
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa taarab Bi. Shakila Said kilichotokea ghafla nyumbani kwao Mbagala jijini Dar es Salaam jana Ijumaa ya tarehe 19/08/2016. Shakila ni msanii na …

Picha: Jeshi la Polisi Likifanya Mazoezi ya Utayari wa Kukabiliana na Uhalifu na Wahalifu Nchini
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia. Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na mat…

Mwili wa Mtoto Albino Wafukuliwa Kwa Uchunguzi
MWILI wa mtoto mwenye albinism aliyefariki kwa maradhi hivi karibuni na kuzikwa Jumapili iliyopita, umefukuliwa chini ya ulinzi wa polisi ili ufanyiwe uchunguzi kutokana na kuibuka maneno yenye kutatanisha kuwa wakati akiugua alikuwa akivuja damu ny…

Zijue Sababu za Kwa Nini Tunazima Simu Ndege Inapotaka Kupaa na Kutua
Najua kama ni mtumiaji wa usafiri wa ndege utakuwa ushasikia taratibu za abiria kuzima simu wakati ndege inataka kupaa na kutua ila huenda hukawa hujui sababu kwa nini unatakiwa kufanya hivyo, inawezekana ulishajiuliza usipozima unaweza kusababisha …

Mabasi ya mikoani Kusimamisha huduma Jumatatu
Kuanzia Jumatatu wiki ijayo hakutakuwa na usafiri wa mabasi nchi nzima, baada ya Wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani (Taboa) kuamua kusimamisha huduma hiyo ili yafanyiwe ukaguzi na Polisi.Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu amesema zaidi ya mabasi 4,00…

Polisi Yadai Kukerwa na Wasanii wa Orijino Komedi Kukatikia Viuno Sare za Jeshi Hilo.........Masanja Mkandamizaji Aendelea Kusakwa
WAKATI mwigizaji wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' akiendelea kusakwa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema unenguaji uliofanywa na wasanii wa kundi la Orijino Komedi jukwaani wakiwa wamevalia sare z…

Ajali Yaua 1 Maeneo ya Mlimani City Dar
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali mbaya ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na mataa hayo.Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali…

Watu Watano Akiwemo Askari wa JWTZ Watiwa Mbaroni kwa tuhuma za Kutengeneza Vyeti Feki
POLISI mkoani Kigoma imewatia mbaroni watu watano akiwemo askari mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa tuhuma za kutengeneza vyeti bandia vya kitaaluma, miongoni mwake vikiwemo 90 vya uuguzi, ambavyo vilikutwa vikisubiri kugawi…

Jinsi Mwanamke Anavyoweza Kuongeza Hips na Makalio kwa Vyakula na Mazoezi
Miaka ya hivi karibuni kua na makalio makubwa imekua ni fasheni muhimu sana kiasi kwamba wanawake wasio na makalio makubwa wamejikuta wakipata tabu na hata kufanya upasuaji hatari ili kuongeza makalio na wengi wameharibika kabisa au kupoteza maisha …

Taarifa za Kifo cha Sarafina si za Kweli
Tetesi za kifo cha muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina si za kweli kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.Hivi karibuni kupitia mitandao zilienea taarifa za kifo cha muigizaji huyo aliyewahi kufanya…

Udukuzi: Simu milioni 900 za Android hatarini
Upungufu wa usalama wa herufi za siri za takriban simu milioni 900 umewapa wadukuzi fursa ya kudhibiti simu za android kote duniani. Upungufu huo unaowapa wadukuzi mlango wa nyuma wa kuiga herufi za siri uligunduliwa baada ya watafiti wa hali ya ubo…
