Kadri siku zinavyoendelea kuhesabika ndio wengine pia tunaendelea kushuhudia vitu vipya au kusikia vitu kwa mara ya kwanza na hii inatokea Morogoro Tanzania ambapo baada ya hivi karibuni kusambaa clip ikionesha ng’ombe waliotobolewa tumbo na bado wanaishi.
Video hii ambayo ilizua gumzo huku watu wengi wakiwa wanajiuliza ng’ombe hao wanawezaje kuishi wakiwa na tundu kwenye matumbo?
Post a Comment