Yusuf Bahkhesa ambaye ameambata na Farid Musa nchini humo ametoa updates za hapa na pale kuhusu yote yanayomuhusu Farid katika majaribio yake.
Kwa mujibu wa Yusuf Bahkhesa, Farid ameshafanyiwa vipimo vya afya baada ya kuwavutia viongozi wa benchi la ufundi la Tenerife linaloongonzwa na kocha mkuu wa timu hiyo Jose Luis Mart.
Post a Comment