Time ya HarmoRapa kwenye Game muda huu “Kiboko ya Mabisho” imekuwa moto kwelikweli.
Kama ulikuwa ufahamu ukiaachana na ishu za politics ndiye msanii
anayeongoza kwa kutajwa katika Media na headlines mbalimbali za ndani na
nje ya nchi.
Harmo ni moto sana hashikiki kwenye Interview this time amealikwa kwenye
kitimoto katika kipindi cha “Papo kwa Papo na Papi” siku ya Jumatano.
Kuingia katika session ya Papo kwa papo na si mchezo hii imedhihirika
kutokana na maombi ya watu kupendekeza jina la Harmo akalie kiti cha
moto.
Post a Comment