Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali
katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na
Mke wake Mama Janeth Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya
Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa wakiwatakia heri ya
Masista katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa
Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akijiandaa Kumpaka
majivu kichwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa
Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu
kichwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika Ibada ya Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa
Katoliki Parokiya ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu
kichwani Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika Ibada hiyo ya Jumatano
ya majivu.
Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Father Asis akimpaka majivu
kichwani Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa katika
Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa mara
baada ya Ibada hiyo ya jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Post a Comment