HTV NEWS

Habari motomoto masaa 24

Herry Mlay@2013. Theme images by i-bob. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • SPORTS
  • ENTERTAINMENT
    • Music
    • Video
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • POLITICS
  • FEATURES
  • VIDEO
  • MAGAZINE
  • OUR SERVICES
    • Sub Menu
    • Sub Sub Menu
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • CONTACT US
Home » HABARI » KUTUPILIWA MBALI KWA KESI YA UGANDA

KUTUPILIWA MBALI KWA KESI YA UGANDA

7:14 AM Unknown 0 HABARI
A+ A-
Print Email
                                        Rais Yoweri Museveni alitangazwa mshindi
Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imefutilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga ushindi wa rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa urais uliofanyika mwezi uliopita.

Mahakama hiyo ilisema kuwa licha ya kuwepo kwa dosari nyingi za uchaguzi, matokeo ya mwisho hayakuathiriwa.

Kesi hiyo iliwasilishwa na aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo amama mbabazi ambaye alimaliza katika nafasi ya tatu.
 
        Kizza Besigye angali anatumikia kifungo cha nyumbani
Kizza Besigye ambaye alimaliza wa pili amesema hakupata nafasi ya kuwasilisha kesi hiyo mahakamani kwa sababu angali anatumikia kifungo cha nyumbani.

Waangalizi wa kitaifa na kimataifa walishutumu uchaguzi huo ambao ulishindwa na rais Museveni.

Share to:

Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

ijonkzmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZO


.

[Sports][verticalslide][recent][10]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

[Video][simple][recent][5]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

Popular Posts

  • Tai Ni Ndege, Ana Mambo Saba (7) Tofauti Na Ndege maajabu makubwa haya apa
    Kuna aina nyingi za ndege aitwaye tai, mfano kuna tai mwenye mkia mweupe, kuna tai wa rangi ya dhahabu, kuna tai wa Ufilipino na...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 3 & 4
    Umri: 18+ Mtunzi:Eddazaria G.Msulwa   ILIPOISHIA Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha k...
  • Kobe Bryant acheza mechi yake ya mwisho
               ...
  • Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 3
  • IOM: Zaidi ya 80 hawajapatikana baada ya boti ya wakimbizi kuzama pwani ya Libya
    Shirika la Kimataifa la Wahajiri IOM limesema hatima ya wahajiri zaidi ya 80 haijajulikana hadi sasa...
  • Askofu Gwajima amshambulia tena Makonda
    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa...
  • Ntaganzwa afikishwa mahakamani Rwanda
                               Ntaganzwa alikamatwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ...
  • Rais Magufuli Afungua Jengo la Kitega Uchumi la Mfuko wa Pensheni PPF Jijini Arusha
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akikata utepe kuzindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pe...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 17 & 18
    Mtunzi:  EDDAZARIA G.MSULWA   ....Nikabaki nimesimama huku sielewi ni kitu gani nifanye nikageuka kiun...
  • Chuo cha CBE wameyazungumza haya baada ya kuripotiwa kwa tuhuma za ufisadi chuoni hapo
    Chuo cha Elimu ya Biashara (...
 

tangazo

tangazo

..

..

.

.
HTV NEWS © 2013. All Rights Reserved.
Designed by HERITENSON MLAY
Top