Ni May 2, 2017 ambapo Mrisho Mpoto kupitia millardayo.com & Ayo TV alifunguka kuhusiana na wale wanaomtusi na kumponda kutokana kuonesha kuunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli.
‘Kiukweli nimepata masikitiko makubwa sana kwani nimejaribu kuwaambia watanzania Rais ni nani, unajua kuna wakati wa kampeni ambapo kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake chochote anachokiamini pale tunaangalia masuala ya vyama lakini tunapomaliza masuala ya uchaguzi tunarudi tuwe katika masuala ya umoja tujenge nchi yetu’- Mrisho Mpoto
Post a Comment