Serikali nchini
Ecuador inasema kuwa idadi ya watu waliouawa kwenye tetemeko kubwa la
ardhi la siku ya Jumamosi, imeongezeka hadi zaidi ya watu 500.
Takriban watu 2000 bado hawajulikani waliko. Watu 20,000 wameachwa bila makao kufuatia tetemeko hilo la uzito wa 7.8 katika vipimo vya richa lililoikumba nchi hiyo.
Post a Comment