Simba
imepiga kambi mjini Zanzibar kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi
ya Azam FC itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,
Jumapili.
Azam FC wenyewe wako Dar es Salaam, wanaendelea na mazoezi kama kawa katika uwanja wao pale Chamazi.
Cheki taswira 10, Azam FC wakiendelea kupambana kuhakikisha wanafanya vema.
Post a Comment