Michuano ya kombe
la FA nchini England iliendelea tena Jumatano kwa mchezo mmoja ambapo
West ham United walikuwa wakichuana na Manchester United.
Rashford na Marouane Fellaini dk ya 67 kipindi cha pili , Huku bao la west ham likifungwa na James Tomkins dk ya 79 kipindi cha pili, na Manchester United watakutana na Everton hatua ya nusu Fainali katika uwnaja wa Wembley.
Katika mwendelezo wa ligi kuu ya England Everton wametosha na nguvu na Crystal palace ukiwa ni mchezo pekee uliopigwa hapo jana.
Post a Comment