HTV NEWS

Habari motomoto masaa 24

Herry Mlay@2013. Theme images by i-bob. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • SPORTS
  • ENTERTAINMENT
    • Music
    • Video
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • POLITICS
  • FEATURES
  • VIDEO
  • MAGAZINE
  • OUR SERVICES
    • Sub Menu
    • Sub Sub Menu
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • CONTACT US
Home » TUKIO » MAAJABU MAKUBWA HOTUBA YA TRUMP YATUMIWA KATIKA FILAMU

MAAJABU MAKUBWA HOTUBA YA TRUMP YATUMIWA KATIKA FILAMU

7:36 AM Unknown 0 TUKIO
A+ A-
Print Email

                                                   Donald Trump
Wazalishaji wa filamu moja nchini Mexico kuhusu wahamiaji wanaojaribu kuingia nchini Marekani wametoa kipande kidogo cha filamu hiyo ambacho kinatumia hotuba ya bwana Donald Trump 

kupitisha ujumbe wa filamu hiyo kwamba maneno ni hatari kama risasi
.
Sauti iliowekwa katika filamu hiyo ya Kihispania, Desierto ,inemuonyesha bwana Trump akiitaka Mexico kusitisha kuwaingiza Marekani walanguzi wa dawa za kulevya pamoja na walanguzi wa binaadamu haraka iwezekanavyo.

Kipande hicho cha filamu kinaisha na mlinzi mmoja akiwawinda wahamiaji jangwani.Filamu hiyo inaigizwa na Garcia Gael Bernal na inaelekezwa na Jonas Cuaron ,mwanawe mwelekezi aliyeshinda tuzo za Oscar Alfonso Cuaron

Share to:

Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

ijonkzmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZO


.

[Sports][verticalslide][recent][10]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

[Video][simple][recent][5]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

Popular Posts

  • Tai Ni Ndege, Ana Mambo Saba (7) Tofauti Na Ndege maajabu makubwa haya apa
    Kuna aina nyingi za ndege aitwaye tai, mfano kuna tai mwenye mkia mweupe, kuna tai wa rangi ya dhahabu, kuna tai wa Ufilipino na...
  • Makundi ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika yamepangwa, Yanga yupo Kundi A
    Baada ya kumalizika kwa hatua ya mtoano ya michezo ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bin...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 1 & 2
    Ningependa Kukushukuru Mpenzi Msomaji, Uliyekuwa Nasi Katika Simulizi Ya Kwanza Ya Mwanafunzi Mchawi.  Hiyo Riwaya bado inaendelea na ...
  • Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete imeokoa hizi milioni ambazo zingetumika kwa matibabu nje
    Taasisi ya Moyo...
  • ALIYEMCHEZEA NA KUMFANYIA UTANI NKURUNZIZA AKAMATWA
      ...
  • Nuh Mziwanda: Miaka Mitatu ya Kuwa na Shilole Imenipoteza Mambo Mengi
    Nuh Mziwanda amedai katika miaka mitatu aliyokuwa na uhusiano na Shilole amepoteza mambo mengi. Akiongea na Bongo5 Nuh ames...
  • Mahakama yawambogo kesi ya Godbless Lema......Yahoji sababu za mbuge huyo kunyimwa dhamana.
    Mwenyekiti wa kikao cha jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, kinachoendelea Arusha, Bernard Luanda, leo ...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 3 & 4
    Umri: 18+ Mtunzi:Eddazaria G.Msulwa   ILIPOISHIA Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha k...
  • Rwanda yataka ufafanuzi kuhusu kifo cha waziri
                                 Jacques Bihozagara alihudumu wakati mmoja kama balozi Ubelgiji ...
  • LIVE KUTOKA TAIFA: YANGA 3-1 KAGERA SUGAR (FULL TIME)
    MPIRA UMEKWISHAAAAAA DAKIKA 3 ZA NYONGEZA SUB Dk 90, Yanga wanamtoa Juma Abdul baada ya kuumia na nafasi yake inachukuliw...
 

tangazo

tangazo

..

..

.

.
HTV NEWS © 2013. All Rights Reserved.
Designed by HERITENSON MLAY
Top