Timu ya West Indes mabingwa mara mbili ya mashindano ya dunia ya T20, watakutana na England mjini Kolkata siku ya Jumapili.
West Indes inaungana na timu yao ya wanawake katika fainali baada ya kuitoa Newzeland kwenye mchezo wa nusu fainali siku ya Alhamisi.
Kukutana kwa west Indes na England kunawafanya wenyeji wa mashindano India kusubiri kutwaa taji hili hadi mashindano mengine.
Post a Comment