HTV NEWS

Habari motomoto masaa 24

Herry Mlay@2013. Theme images by i-bob. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • SPORTS
  • ENTERTAINMENT
    • Music
    • Video
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • POLITICS
  • FEATURES
  • VIDEO
  • MAGAZINE
  • OUR SERVICES
    • Sub Menu
    • Sub Sub Menu
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • CONTACT US
Home » HABARI » Korea Kusini yawa gomzo mkutano wa Nyuklia

Korea Kusini yawa gomzo mkutano wa Nyuklia

11:09 PM Unknown 0 HABARI
A+ A-
Print Email

                                           Mkutano wa dunia kuhusu Nuklia
Korea kaskazini imekuwa gumzo wakati wa mkutano wa dunia juu ya usalama wa nyuklia unaofanyika mjini Washngton.

Baada ya kukutana na Rais Xi Jinping wa China, Rais Barack Obama amesema wote wanawajibu wa kulifanya eneo hilo la rasi ya Korea kuwa eneo huru lisilo na nyuklia na kuiweka vikwazo zaidi dhidi ya Pyongyang.

Hali ya wasiwasi imetanda juu ya jaribio la Korea kaskazini kuendelea silaha za nyuklia na majaribio yake ya teknolojia ya makombora.

Awali Rais Obama alikutana na viongozi wa Japan na Korea kusini kuweka msimamo wa pamoja juu ya suala la usalama katika rasi hiyo ya Korea.

Pamoja na kwamba nchi ya pili kwa nuklia duniani Urusi haijahudhuria mkutano huo, Rais Obama alifanya mazungumzo na Rais Xi Jinping of China ambapo amesema yeye pamoja na Rais XI

wamekubaliana kuondoa nuklia katika eneo la rasi ya Korea na kutekeleza vikwazo vipya vilivyopitishwa na Umoja wa Matiafa kwa lengo la kuipa shinikizo jipya Korea Kaskazini.

Kwa upande wake Rais Xi amesema China inataka kuongeza mawasiliano na kuratibu jambo hilo ambapo nchi zote mbili zimekubaliana kukutana kila mwaka kuzungumzia masuala ya usalama wa nyuklia.

Wamesema pia watafanya kazi kwa pamoja kuzuia malighafi za kutengeneza nuklia na kuratibu juhudi za kuzuia malighafi hizo kuangukia mikononi mwa magaidi.

Hata hivyo kasoro moja katika mkutano huo ni kutokuwepo kwa Rais Vladimir Putin. Urusi na Marekani wanamiliki karibu asilimia 90 ya silaha za nyuklia hivyo Mosco kukataa kuhudhuria mkutano huo unaweza kufanya makubaliano yatakayofikia isiyatekeleze.

Share to:

Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

ijonkzmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZO


.

[Sports][verticalslide][recent][10]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

[Video][simple][recent][5]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

Popular Posts

  • Tai Ni Ndege, Ana Mambo Saba (7) Tofauti Na Ndege maajabu makubwa haya apa
    Kuna aina nyingi za ndege aitwaye tai, mfano kuna tai mwenye mkia mweupe, kuna tai wa rangi ya dhahabu, kuna tai wa Ufilipino na...
  • SOMA MAAJABU 5 YA NDEGE AINA YA BATA WAKUFUGWA
    Karibu katika mfululizo wa makala mbalimbali makala zinazo kupa fursa ya wewe msomaji kutambua mambo mbalimbali kuusu ndege zaainazote zina...
  • Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 3 2016 kwenye, hardnews na michezo
    April 3 2016 naanza k...
  • Kobe Bryant acheza mechi yake ya mwisho
               ...
  • Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 3
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 3 & 4
    Umri: 18+ Mtunzi:Eddazaria G.Msulwa   ILIPOISHIA Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha k...
  • Rais Magufuli Avunja Bodi ya TCU kwa kupitisha Majina 489 ya Wanafunzi Wasio na sifa......Katibu Mtendaji wa TCU Naye Kasimamishwa Kazi
    RAIS John Magufuli amevunja Kamisheni  ya Tume  y a Vyuo Vikuu (TCU) na kuwasimamisha kazi watendaji wakuu wa tume hiyo b...
  • Korea Kusini yawa gomzo mkutano wa Nyuklia
    ...
  • Askofu Gwajima amshambulia tena Makonda
    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa...
  • Nchi za Ulaya haziwasaidii wakimbizi wanaozama baharani
        Nchi za Ulaya hazijachukua hatua za kutosha kuwanusuru wak...
 

tangazo

tangazo

..

..

.

.
HTV NEWS © 2013. All Rights Reserved.
Designed by HERITENSON MLAY
Top