Habari za Hivi Punde..Polisi Wamkamata Gwajima Tena. Afanyiwa Upekuzi Upya GOD BLESS NJE KWA MDHAMANA!!!! 6:55 AM Unknown 0 HABARI A+ A- Print Email Askofu Gwajima, Jeshi la Polisi Polisi jijini Dar wamemkamata Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Leo siku ya Ijumaa akiwa nyumbani kwake na inasemekana wameweza kumfanyia upekuzi upya. Gwajima amepelekwa Central na taarifa zaidi zitafuatia
Post a Comment