0
 Watanzania na serekali kwa ujumla wameombwa kuttoa misaada na kuchangia kwanamna yoyote shirika la Agape Wuema sanctuary ministries intanational Tanzania L.T.D ili kusaidia watoto yatima pamoja na wajane wanaoishi katika mazingira magumu.
















 





Baathi ya wajani walio hutduria katika mkutana na askofu mkuu wa agape jijini Arusha


 Ameyasema hayo Askofu mkuu wa kanisa la agape katika kongamano la viongozi wa Agape wuema mapema leo katika kanisa hili lililopo Bandambili Mkoani Arusha 

Hatahivyo wadhamini wa kanisa hilo wameonyesha nia yao nzuri yakutaka kuwakomboa watanzania wenye haliduni na kujikwamua kimaisha nakusema kuwa nivyema wazazi kuwatabiria mema watoto wao haijalishi wapo katika wakati gani ili kuwapa moyo watoto wao kuweza kufanya vuzuri shuleni


Kwakile kilicho onekana kuwa nikutaka kuonyesha dhamira halisi ya kutaka kuwasaidia watoto yatima baadhi ya wageniao ambao pia niwazamini wamifurahi na kucheza pamoja na watoto hao ili kuwafanya watoto hao kujiona nisawa na watoto wanao ishikatika mazingira yakawaida







Post a Comment

 
Top