Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’ ambayo
imefanyika Cape Town South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka
chini ya mkataba na Sony Music aliousaini leo May 19 2016 Johannesburg
South Africa, ukishaitazama utuachie comment yako ili akipita hapa na
timu yake wajue watu wanasemaje
Post a Comment