Timu ya kimataifa
ya wanasayansi imekamilisha utafiti mkubwa zaidi kuwahi kutokea wa
maumbile ya saratani ya matiti, ambayo wanasema inawapa karibu picha
kamili ya nini husababisha ugonjwa huo.
Utafutu huo walau unaweka wazi uhakika wa asilimia 93 kama seli hizi zikibadilika kuweza kusababisha uvimbe.Watafiti wanasema kuwa taarifa hizi zitaweza kusababisha kupatikana matibabu kamili kwa binadamu.
Post a Comment