Wafanyakazi hewa 2,000 wagunduliwa Tanzania 11:06 AM Unknown 0 TUKIO A+ A- Print Email Ripoti mpya iliyotolewa baada ya ukaguzi wa wafanyakazi hewa nchini Tanzania imebaini kuwa serikali imekuwa ikiwalipa wafanyakazi hewa takriban 2,000. Ripoti hiyo kutoka mikoa mbali mbali nchini Tanzania imeonesha kuwa serikali imepoteza mamilioni ya dola kwa ubadhirifu huo.
Post a Comment