Mshambuliaji wa
kilabu ya Barcelona Luis Suarez aliyefunga mabao mawili siku ya Jumanne
dhidi ya Atletico Madrid,alikuwa chaguo la wengi kama mshambuliaji bora
barani katika ligi hiyo ya Ulaya msimu huu.
Utafiti huo umefanywa na BBC.
- 1. Luis Suarez (7,342 - 36%)
- 2. Jamie Vardy (2,994 - 15%)
- 3. Pierre-Emerick Aubameyang (1,989 - 10%)
- 4. Lionel Messi (1,779 - 9%)
- 5. Harry Kane (1,684 - 8%)
- 6. Cristiano Ronaldo (1,017 - 5%)
- 7. Zlatan Ibrahimovic (801 - 4%)
- 8. Robert Lewandowski (766 - 4%)
- 9. Sergio Aguero (582 - 3%)
- 10. Gonzalo Higuain (337 - 2%)
- 11. Other (268 - 1%)
- 12. Neymar (240 - 1%)
- 13. Romelu Lukaku (234 - 1%)
- 14: Gareth Bale (129 - 0.6%)
- 15: Thomas Muller (88 - 0.4%)
Post a Comment