Tunajua kuna ile list ya Wanyama wakali duniani ambao Binadamu hawatakiwi kujisogeza au kucheza nao…. na ukisikia kuna Simba kaonekana mtaani najua hautotoka nje ila yeye huyu Mrembo kwenye Hifadhi binafsi ya Wanyama hana neno na Simba aliokaa nao toka wadogo, wala hawana neno nae.. mtazame kwenye hii video hapa chini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment