Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ameweka rekodi.
Niyonzima
aliitumikia Yanga jezi yake ikiwa tofauti. Jezi yake pekee haikuwa na
nembo ya mdhamini wa Yanga ambaye ni Bia ya Kilimanjaro.
Hii
ilikuwa ni katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho wakati
Yanga ilipoivaa Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Hata hivyo haijajulikana kwa nini hilo lilitokea. Na viongozi wa Yanga wameonekana kukwepa kulizungumzia. Utaona picha hiyo.
Post a Comment