Mtu mrefu zaidi
duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3
au mita 2.51 amewasilia nchini Mauritius leo asubuhi.
Sultan mara ya kwanza alitajwa kuwa mtu mrefu zaidi duniani mwaka 2009 wakati alitimia urefu wa futi 8 na inchi moja mwaka 2009.
Akiongea wakati aliingia kwenye rekodi ya kitabu cha Guinness World Records alismea," Singetarajia ningekuwa kwenye kitabu hicho, nikuwa na ndoto lakini bado ulikuwa ni mshangao mkubwa.
Post a Comment