Kiongozi mkubwa
katika shirikisho la soka ulimwenguni FIFA, amejiuzulu wadhifa katika
tume ya maadili baada ya jina lake kuonekana katika kashfa ya matumizi
mabaya ya fedha ya PANAMA.
Lakini kumbukumbu hazioneshi uwepo wa shughuli yoyote isyohalali.kamati ya maadili ya FIFA inafanya uchunguzi endapo kanuni za maadili zimevunjwa. Juan Pedro Damiani amekana shutuma zinazomkabili.
Post a Comment