Michuano ya Kombe
la Klabu Bingwa barani Ulaya hatua ya nusu fainali imeendelea tena jana,
Atletico Madrid wakipata ushindi dhidi ya Bayern Munich katika dimba la
Vicente.
Timu hizo zitarudiana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho kuweza kumpata mshindi atakayecheza hatua ya fainali ya michuano.
Post a Comment