0

Taasisi ya utafiti ya Twaweza imefanya utafiti juu ya hali ya chakula na kutoa matokeo ya utafiti huo ambapo wamehoji watu 1,800 wa Tanzania bara “Zanzibar haikuhusishwa kwenye matokeo hayo”

Idadi kubwa ya waliohojiwa asilimia 78 wamesema kuna uhaba wa chakula katika maeneo wanayoishi, ripoti hiyo imeongeza kuwa hali mbaya zaidi katika maeneo ya vijijini ambako asilimia 84 wameripoti uhaba wa chakula ikilinganishwa na asilimia 64 katika maeneo ya mijini.

Post a Comment

 
Top