May 18
2016 ziliripotiwa taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba Serikali
inaandaa Muswada wa Sheria wa ndoa kulipiwa kodi ambapo utawataka
washereheshaji ‘Ma-MC’, watoa huduma ya chakula kumbini, wapika keki na
wenye kumbi kulipa kodi, Ayo TV imempata mmoja wa washereheshaji, MC
Pilipili kuzungumza namna ambavyo amelipokea suala hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment