May 19 2016 katika eneo la Shekilango Jijini Dar es salaam imetokea ajali baada
ya mwendesha bodaboda akiwa na abiria wawili kwenye pikipiki moja
akijaribu kulipita gari lililokuwa mbele yake lakini pikipiki ikamshinda
na kuanguka, pikipiki hiyo iliyokuwa imebeba Mama na mwanae.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment