Mshambuliaji nyota wa Leicester City, Jamie Vardy ameongeza tatuu nyingine kwenye mwili wake.
Vardy
ameongeza tatuu hiyo ikiwa ni muds mchache kabla ya kikosi chake kubeba
ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya Chelsea kuibana Tottenham na
kutoka nayo sare ya mabao 2-2.
Straika huyo alichora tatuu yake katika sehemu maalum inayomilikiwa na Nik Moss-Glennon ambaye ni mchora tatuu mahiri zaidi.
Baada
ya mashabiki wa Leicester kugundua kwamba Vardy alikwenda pale na
kuchora tatuu inayoelezwa ilitumia saa saba. Nao wameweka oda kwa wingi
wakitaka kwenda eneo hilo na kujichora pia na tayari wameanza kuchorwa
na mtaalamu huyo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.