Uswisi
imeingia kwenye headline ambapo Reli ndefu zaidi ambayo inapita chini ya
ardhi imepangwa kufunguliwa wiki za hivi karibuni baada ya miaka 17 ya
ujenzi, reli hiyo kwa mara ya kwanza ilianza na mchoro mwaka 1947 lakini
ujenzi wake ulianza miaka 17 iliyopita.
Majaribio
ya treni kwenye reli hiyo yanatarajiwa kuanza wiki ijayo June na abiria
wa kwanza kabisa kwenye treni hiyo wanatarajiwa kuanza December, Miamba
tani milioni 28.2 imetumika kujengea reli hiyo.
Imeelezwa
kwamba kuanzishwa kwa reli hiyo kutasaidia suala zima la
usafiri ambapo Muda wa kusafiri kati ya Zurich na Millan utapungua
kutoka masaa mawili na dakika 40 na itakuwa saa moja ambayo ni haraka
zaidi ukilinganisha na ilivyo hivi sasa.
.
Gotthard map
.
.
.
.
.
Post a Comment