Kocha wa zamani wa Liverpool, Brendan Rodgers ametua Celtic ya Scotland.
Kocha
huyo aliyekuwa nje ya mchezo wa soma tokea Oktoba 4, mwaka jana
alipotimuliwa kazini na Liverpool, amepokelewa kwa shangwe kubwa na
mashabiki wa Celtic ya Scotland. Angalia ilivyokuwa shangwe.
Post a Comment