Kupitia instagram, Ray ameandika:
Nipo nchini Rwanda nimekuja kushoot movie inayoshirikisha nchi mbili Tanzania na Rwanda ni msanii pekee toka Tanzania niliyechaguliwa kuja kufanya movie hapa nchini Rwanda nina imani sitowaangusha Watanzania wenzangu hapa ni kazi tu.Katika hatua nyingine leo ni siku ya kuzaliwa ya Vincent Kigosi, ambapo wasanii mbalimbali pamoja na mashabiki wake wa filamu wamekuwa wamtakia heri.
Post a Comment