Home
»
MICHEZO
» HATIMAYE Mwanariadha Kilema wa South Africa Oscar Pistorius Ahukumiwa Kwenda Jela Kwa Mauaji
Jela Kwa Mauaji

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, leo amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kosa la kumuua mpenzi wake.
Alimuua kwa kumpiga risasi mchumba wake, Reeva Steenkamp miaka mitatu iliyopita
Post a Comment