HTV NEWS

Habari motomoto masaa 24

Herry Mlay@2013. Theme images by i-bob. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • SPORTS
  • ENTERTAINMENT
    • Music
    • Video
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • POLITICS
  • FEATURES
  • VIDEO
  • MAGAZINE
  • OUR SERVICES
    • Sub Menu
    • Sub Sub Menu
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • CONTACT US
Home » HABARI » Us Na China kushirikiana dhidi ya Korea Kaskazini

Us Na China kushirikiana dhidi ya Korea Kaskazini

12:43 AM Unknown 0 HABARI
A+ A-
Print Email



                                                 Mkutano wa dunia kuhusu Nuklia
Korea kaskazini imekuwa gumzo wakati wa mkutano wa dunia juu ya usalama wa nyuklia unaofanyika mjini Washngton.

Baada ya kukutana na Rais Xi Jinping wa China, Rais Barack Obama amesema wote wanawajibu wa kulifanya eneo hilo la rasi ya Korea kuwa eneo huru lisilo na nyuklia na kuiweka vikwazo zaidi dhidi ya Pyongyang.

Hali ya wasiwasi imetanda juu ya jaribio la Korea kaskazini kuendelea silaha za nyuklia na majaribio yake ya teknolojia ya makombora.

Awali Rais Obama alikutana na viongozi wa Japan na Korea kusini kuweka msimamo wa pamoja juu ya suala la usalama katika rasi hiyo ya Korea.

Pamoja na kwamba nchi ya pili kwa nuklia duniani Urusi haijahudhuria mkutano huo, Rais Obama alifanya mazungumzo na Rais Xi Jinping of China ambapo amesema yeye pamoja na Rais XI wamekubaliana kuondoa nuklia katika eneo la rasi ya Korea na kutekeleza vikwazo vipya
vilivyopitishwa na Umoja wa Matiafa kwa lengo la kuipa shinikizo jipya Korea Kaskazini.

Kwa upande wake Rais Xi amesema China inataka kuongeza mawasiliano na kuratibu jambo hilo ambapo nchi zote mbili zimekubaliana kukutana kila mwaka kuzungumzia masuala ya usalama wa nyuklia.

Wamesema pia watafanya kazi kwa pamoja kuzuia malighafi za kutengeneza nuklia na kuratibu juhudi za kuzuia malighafi hizo kuangukia mikononi mwa magaidi.

Hata hivyo kasoro moja katika mkutano huo ni kutokuwepo kwa Rais Vladimir Putin. Urusi na Marekani wanamiliki karibu asilimia 90 ya silaha za nyuklia hivyo Mosco kukataa kuhudhuria mkutano huo unaweza kufanya makubaliano yatakayofikia isiyatekeleze.
Copyright © 2016 BBC. BBC Haiwajibiki kwa taarifa kutoka tovuti zisizo zake. 

Share to:

Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

ijonkzmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZO


.

[Sports][verticalslide][recent][10]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

[Video][simple][recent][5]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

Popular Posts

  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 3 & 4
    Umri: 18+ Mtunzi:Eddazaria G.Msulwa   ILIPOISHIA Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha k...
  • uteuzi wa Diwani viti maalumu Chadema wakamilika
    Kufuatia kifo cha aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu katika Halmashauri ya jiji ya Mbeya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chade...
  • IOM: Zaidi ya 80 hawajapatikana baada ya boti ya wakimbizi kuzama pwani ya Libya
    Shirika la Kimataifa la Wahajiri IOM limesema hatima ya wahajiri zaidi ya 80 haijajulikana hadi sasa...
  • Ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kigezo'
          Kiongozi Muadham...
  • CORD wapigwa mabomu ya kutoa machozi Kenya
    Viongozi wa Muungano wa CORD wa Waz...
  • Kanye West ashtakiwa kwa madai ya ulaghai
        ...
  • Bayern, Atletico zajikatia tikiti ya nusu fainali
    Bayern Munich imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili na Benfica Lisbon jana usi...
  • WHO: Malaria itaangamizwa Afrika hadi mwaka 2020
    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kuna uwezekano ugonjwa...
  • Hasna akwamisa kesi ya Kafulila
    KESI namba mbili ya mwaka 2015 ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na David ...
  • Violence against women, child marriage rise disturbing
    A new study by Tanzania NGOs shadow report to the Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination Against Women (CEDAW...
 

tangazo

tangazo

..

..

.

.
HTV NEWS © 2013. All Rights Reserved.
Designed by HERITENSON MLAY
Top