HTV NEWS

Habari motomoto masaa 24

Herry Mlay@2013. Theme images by i-bob. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • SPORTS
  • ENTERTAINMENT
    • Music
    • Video
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • POLITICS
  • FEATURES
  • VIDEO
  • MAGAZINE
  • OUR SERVICES
    • Sub Menu
    • Sub Sub Menu
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • CONTACT US
Home » HABARI » Trump ‘ajipendekeza’ kwa wakuu Republican

Trump ‘ajipendekeza’ kwa wakuu Republican

12:47 AM Unknown 0 HABARI
A+ A-
Print Email


                Bw Trump anaongoza kwa wajumbe chama cha Republican kufikia sasa
Mgombea urais anayeongoza katika chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amechukua hatua ya kushangaza akijaribu kuimarisha uhusiano uliodorora kati yake na wakuu wa chama hicho.

Mfanyabiashara huyo tajiri kutoka New York ametembelea Kamati Kuu ya Taifa ya Republican.

Amechukua hatua hiyo siku moja baada ya kuwakera viongozi hao kwa kusema kwamba hatatii makubaliano ya kuunga mkono mgombea mwengine, iwapo yeye mwenyewe hatashinda uteuzi wa chama hicho.

Bw Trump, anayeongoza kwa wajumbe kwa sasa, amekosoa kile anachosema ni juhudi zisizo za kidemokrasia za kutaka kumpkonya ushindi katika mkutano mkuu wa kuidhinisha mgombea mjini Cleveland mwezi Julai.





chanzo bbc swahili

Share to:

Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

ijonkzmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZO


.

[Sports][verticalslide][recent][10]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

[Video][simple][recent][5]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

Popular Posts

  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 3 & 4
    Umri: 18+ Mtunzi:Eddazaria G.Msulwa   ILIPOISHIA Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha k...
  • Tai Ni Ndege, Ana Mambo Saba (7) Tofauti Na Ndege maajabu makubwa haya apa
    Kuna aina nyingi za ndege aitwaye tai, mfano kuna tai mwenye mkia mweupe, kuna tai wa rangi ya dhahabu, kuna tai wa Ufilipino na...
  • DC atangazia kiama wavamizi Mvomero
        Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Betty Mkwassa.   Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Be...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 1 & 2
    Ningependa Kukushukuru Mpenzi Msomaji, Uliyekuwa Nasi Katika Simulizi Ya Kwanza Ya Mwanafunzi Mchawi.  Hiyo Riwaya bado inaendelea na ...
  • Picha ya Mtanzania anayeteswa na Mchina yampeleka Mwigulu Geita
    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amewasili mkoa wa Geita kwa ziara ya kikazi, kubwa ikiwa ni kufuatia taari...
  • Wanawake Korea Kusini wanaweza kuishi miaka 90 nazaid
    Wanawake nchini Korea Kusini wanakadiriwa kupiundukia umri wa miaka 90 kwa mujibu wa jarida moja la habari za kisayansi la lijulikanalo...
  • Zitto Kabwe "Kaulonzito Sakata la Godbless Lema....Ataka ofisi ya DPP iwajibishwe
    Kitendo cha Mbunge wa Arusha mjini kukaa rumande kwa zaidi ya miezi minne sasa pasipo kupatiwa dhamana kimemf...
  • Upinzani waapa kumng'oa Zuma mamlakani
    ...
  • Wanaofanya Biashara ya Ngono Wataka ajira Irasimishwe
    Baadhi ya wanawake wanaojiuza katika mitaa ya Majengo B na Fisi, mjini Mpanda m...
  • Zitto: Manji Anakomolewa, Sasa Anyang'anywa Hisa Zake za Tigo na Serikali..!!
    Yanayoendelea dhidi ya Yusuf Manji yanashabikiwa na baadhi yetu kwa sababu wanadhani hayatawafika. Tabia ya kukomoa mtu ni tabia mbaya...
 

tangazo

tangazo

..

..

.

.
HTV NEWS © 2013. All Rights Reserved.
Designed by HERITENSON MLAY
Top