Baraza la usalama
la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kuweka mikakati ya kuwatuma
wanajeshi wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi, ambapo vita vya kisiasa
vilivyochukua takriban mwaka mmoja vinatishia kuwa vita vya kikabila.
Hata hivyo rais wa Burundi , Pierre Nkurunziza, amepinga hatua yoyote ya kuingilia kati Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika.
Zaidi ya watu 400 wameuawa na robo milioni kutafuta hifadhi katika mataifa jirani tangu kuzuka kwa vurugu hizo mwaka uliopita.

Post a Comment