Kuna hali ya
sintofahamu katika mji mkuu wa Sudan Kusini Juba, wakati watu wanasubiri
kuwasili kwa kiongozi wa waasi Riek Machar.
Bwana Machar alitarajiwa kuwasili wakati kama huo jana, lakini akaairisha safari yake kutokana na matatizo ya usafiri kulingana na msemaji wake.
Post a Comment