Kiungo wa kati wa
Chelsea Cesc Fabregas amesema Jose Mourinho alikosa kufanikiwa Stamford
Bridge msimu huu kwa sababu aliwaamini wachezaji kupita kiasi.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mmoja awali, Mourinho alikuwa amewaongoza kushinda taji la Ligi ya Premia.
Fabregas, 28, sasa anasema wachezaji walikosa kufanya hisani baada ya kuongezewa muda wa kukaa likizoni kama zawadi kwa kushinda ligi.
“Namheshimu sana,” Fabregas aliambia Sky Sports.
"Hiyo ndiyo sababu kuu akafutwa, na kwa sababu ya hilo mimi na wachezaji wengine katika timu tunajilaumu.”
Post a Comment