Ndege za kivita za
Marekani zisizokuwa na rubani zimewaua karibu wanamgambo 12 wa kundi la
al-Shabab kusini mwa Somalia kwa mujibu wa afisa mmoja nchini Marekani.
Msemaji
wa makao makuu ya ulinzi nchini Marekani Jeff Davis, alisema kuwa
mashambulizi hayo ya angani, yaliendeshwa siku ya Jumatatu na Jumanne
katika eneo lililo Kaskakzinia mwa mji wa bandario wa Kismayo.
Alisema kuwa mashambulizi hayo yalilenga ngome za al-shabab ambazo ziitajwa kuwa hatari kwa Marekani.
Post a Comment