Korea Kusini
imeituhumu Korea Kaskazini kuwa inatumia mawimbi ya kielektroniki yalio
na nguvu nyingi kutatiza mitambo yake ya mawasiliano na uelekezi wa meli
na ndege ya GPS.
Hatahivyo Seoul inasema hakuna uharibifu mkubwa uliosababishwa na mawimbi hayo japo inasema usambazaji huo ni tendo la uchokozi.
Hali ya wasiwasi katika rasi ya sinai inazidi kutokota hasa baada ya Pyongyang kufanya jaribio la nne la zana za nyuklia mwezi Januari.
Post a Comment