Mkuu wa kikosi cha
polisi nchini Uganda amesema kuwa atawaondoa maafisa wake nje ya nyumba
ya kiongozi wa Upinzani Kizza Besigye mara moja.
Siku ya Alhamisi Mahakama ya juu nchini Uganda ilitupilia mbali kesi inayopinga uchaguzi wa rais Museveni.
Post a Comment