Shirika la kutetea
haki za kibinadamu la Amnesty International, limetaka makuburi ya pamoja
kaskazini mwa Nigeria kufungwa kwa uchunguzi, kufuatia kukuri kwa
kiongozi wa serikali
aliyesema watu 347 waliuawa katika mapingano kati
ya jeshi na kundi la waislamu Shia mjini Zaria mwezi Desemba.
Amnesty Internationa inasema kuwa kuna taarifa za kutisha kutoka kwa serikali ya Kaduna kwamba mamia ya washia waliuawa na kutupwa kwenye makaburi ya pamoja
Post a Comment