Wakurugenzi 3 Waliotumbuliwa MSD Warudishwa Kazini 9:57 AM Unknown 0 HABARI A+ A- Print Email Bodi ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD), yaamua kuwarudisha kazini Wakurugenzi 3 kati ya 4 waliosimamishwa kazi Februari 15.Walikutwa hawana hatia kutoka kwenye tuhuma mbalimbali zilizokuwa zinawakabili
Post a Comment