Usiye Mtaka Kaja..Donald Trump Apitishwa Kuwa Mgombea wa Uraisi Marekani 9:49 AM Unknown 0 MATUKIO A+ A- Print Email Mgombea urais, Donald Trump atangazwa rasmi kuwa mpeperusha bendera wa Chama cha Republican katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.Atachuana na mgombea anayetegemewa kupitishwa na chama cha Democrat, Hillary Clinton..
Post a Comment