0
By
July 27 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa tamko la kumfungia kutofanya muziki msanii wa bongo flava Nay wa Mitego kwa muda usiojulikana kwa makosa matatu ikiwemo kutoa wimbo wa Pale kati na kuusambaza bila Baraza la Sanaa kuwa na taarifa.
Moja ya wasanii walioguswa na hatua hilo ni pamoja na staa wa bongo flava Afande Seleambaye hakusita kuonyesha hisia zake kwa kuandika kupitia account yake ya Instagram akionyesha kutoridhishwa na hatua hiyo ya BASATA.
Ayo TV imempata Afande Sele kwenye exclusive interview ambaye anashare na sisi hisia zake…’Sio jambo ambalo linachukiza ama linafurahisha lakini linashangazatu, mimi sio mfuasi wa nyimbo zisizo na maadili hata kwenye kazi zangu najitahidi kuzingatia maadili
Lakini kinachoniuzunisha nikwamba kufungiwa kwa Nay hali aliyoifanya ishafanywa na wasanii wengi kama Snura, Shilole hata Yamoto bandlakini kwanini wamfungie Nay wa mitego pekee? BASATA wasikurupuke kufanya vitu ‘ –Afande Sele

Post a Comment

 
Top