TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia 12:24 AM Unknown 0 MATUKIO A+ A- Print Email Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.Innalillah waina illaih rajiun chanzo udaku blog
Post a Comment