Baadhi ya wanafunzi katika chuo cha
uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakielekea chuoni hapo majira ya
asubuhi
Picha na Heritenson
mlay.
Baadhi ya
wanafunzi wakiwa darasani katika masomo yao mbalimbali kulia ni clemensi
palanjo katika mafunzo hayo,
Picha na Heritenson mlay.
Wanafunzi wa chuo hicho wakiwa katika hrakati za kuongeza uwezo wa darasan
kwakujisomea na kuandaa vipindi mbalimbali kwaajili ya fanya mazoezi kwa njia
ya radio
Picha na Heritenson
mlay.
moja wa wanafunzi katika
chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (theodora)akiwa katika mazoezi
ya uwasilishaji wa vipindi mbalimbali kama vile…Taarifa ya
habari,michezo,matukio pamoja na kipindi maalum.
Picha na Heritenson
mlay.
DJakifanya
yake ili kuhakikisha mambo yote ya mawasiliano na presenter yana kwenda safi
Picha na Heritenson
mlay.
Wanafunzi wote kwa ujumla wakiwa katika ukumbi wa chuo hicho wakisikiliza
uwasilishwaji wa vipndi vya redio nabadae kuweza kutoa comment ilikuweza kukuza
uwezo wa kutangaza.
Picha na Heritenson
mlay.
Moja
ya wakufunzi katika chuo hicho (Mr.Ishengoma)akitoa mwongozo mara baada ya
vipindi kuwasiliswa nakuweza kusikilizwa vyema na wanafunzi pamoja na wakufunzi.
Picha na Heritenson
mlay.
Maoni
ya wanafunzi kuusu mwanafunzi mwenzao alicho wakilisha kwa njia ya redio nahii
hutolewa kwaajili ya kuweka mambo sawa kwaku rekebisha pale alipo kosea.
Picha na Heritenson
mlay.
Wanafunzi wakifanya majadiliano juu ya maswaala ya uwasilishwaji wa
vipindi mbalimbali vilivyo fanyika ndani
ya studio za chuo hicho kupitia masafa ya 96.6 studio ya radio. Picha na Heritenson
mlay.
Picha na Heritenson
mlay.
Post a Comment